MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Thursday, December 17, 2015

Eti Jamani: Ni Sawa kwa Watumishi wa Mungu Kutumiwa na Wanasiasa Hasa Wakati wa Uchaguzi? Hawa Hapa Majemedari wa Injili Tanzania (Rose Muhando, Bonny Mwaitege, Upendo Nkone, Martha Mwaipaja...) Wakimsifia Mwigulu Nchemba.

Audio (via Sound Cloud)

4 comments:

Emmanuel Thadei said...

1yr later...
Jifunze kuwa siasa ni biashara kama biashara zingine, hivyo hao waimbaji wa injili nao kuna kitu wanapata na hata wewe unajua kuwa kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake!
Hapo ni sehemu ya maisha yao, na wanaweza kufanya kikubwa wasivunje sheria na taratibu za Mungu kwa kutukana au kudharau watu wengine!

lesha said...

This music is indeed a blessing and an encouragement in my christian life. Heri tumtumainie bwana alie mungu na kiongozi wa maisha yetu. There is none to worship but him alone. Be blessed as you listen to this music. God bless u. Amen

Masunga Sayi said...

Jaman hii ni kazi kama kazi zngne. Hivyo kama mtu anatafuta mali hana kupitia katka njia zozote ili mradi havunji sheria. Wanahaki ya kuimba hivyo kwa sababu hata ni raia kama wengine na hilo suala uchaguzi lnawahusu sana hvyo ni mhimu pia kwao kuelezea kile wanachodhani ni bora.