tag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post3559936976734705403..comments2024-03-08T23:41:42.758+03:00Comments on NYIMBO ZA DINI: UNIKUMBUKE - CHRISTINA SHUSHOMasangu Matondo Nzuzullima (MMN)http://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-49320790022107057092010-09-02T12:46:12.598+03:002010-09-02T12:46:12.598+03:00unanigusa sana, unanipa upako. ubarikiwe kwani kup...unanigusa sana, unanipa upako. ubarikiwe kwani kupitia wewe naimarika kiroho, MUNGU KWELI AMENIKUMBUKA.!!! anazidi kunipigania, akubariki na kukupa nguvu ya kumtumikia!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-36292288789376169752009-08-19T16:30:34.970+03:002009-08-19T16:30:34.970+03:00Waambie youtube. Acha injili ienee. Hebu ushindwe ...Waambie youtube. Acha injili ienee. Hebu ushindwe na ulegeeAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-72375907748991509222009-08-15T06:19:07.756+03:002009-08-15T06:19:07.756+03:00huu si ni wizi wa kazi za wasanii?huu si ni wizi wa kazi za wasanii?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-58726184901234652002009-08-06T23:29:15.936+03:002009-08-06T23:29:15.936+03:00Mungu akuzidishie ujasiri maarifa na hekima pia mi...Mungu akuzidishie ujasiri maarifa na hekima pia miaka mingi christina indeed you are a blessing to many not only in Tz but in the whole E.Africa. Ubarikiwe sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-3247538348735063722009-05-10T16:08:00.000+03:002009-05-10T16:08:00.000+03:00Ninamshukuru Mungu kwa jinsi anavyozidi kuwapa wa...Ninamshukuru Mungu kwa jinsi anavyozidi kuwapa watu wake karama mbalimbali,nimesikiliza wimbo huu wa Mrs:Christina Shusho unikumbuke umezidi kunifariji moyo wangu, na kunikumbusha kipindi kigumu nilichopita mpaka nikafilia kuwa Mungu ameniacha,lakini kumbe alikuwa akinitegenezea ushukhuda Mungu.Mungu hatusahau anatuwazia yaliyo mema kila wakati.Mungu azidi kumfunulia huyu mama nyimbo nyingi ili watu wapate kupona kupitia ujumbe wa nyimbo zake.<br />Mungu awabariki<br />Evarest<br />BelgiumAnonymousnoreply@blogger.com