tag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post5331761004873058493..comments2024-03-08T23:41:42.758+03:00Comments on NYIMBO ZA DINI: MKUSANYIKO WA NYIMBO ZA KABULA GEORGEMasangu Matondo Nzuzullima (MMN)http://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-2868377795679584872009-11-20T22:21:55.228+03:002009-11-20T22:21:55.228+03:00Kwa kawaida huwa sijishughulishi sana na comments ...Kwa kawaida huwa sijishughulishi sana na comments za ma-anonymous lakini leo nitasema tu kidogo. Kwani kuwa Mhariri wa Gazeti la Udaku ni kosa/dhambi? Hebu basi tusiwe wepesi wa kuhukumu ili nasi tusije tukahukumiwa. Kazi ya kweli ya Mungu inajipambanua yenyewe na kama huduma ya wapendwa hawa siyo kazi yake itajipambanua yenyewe. Sisi ni nani mpaka tuhukumu? Nyimbo za binti huyu wa Mungu ni nzuri, zilizobarikiwa na ukizisikiliza ukiwa umeufungua moyo wako utamwona Roho Mtakatifu Akizungumza nawe. Hebu sote na tukawe na subira na Mungu akaendelee kutubariki daima. Tuombeane, tukishauriana na kutiana moyo kwani safari yetu ni ngumu. Tukianza kukwazana sisi kwa sisi, kweli tutafika?Limbe Jumahttp://nyimbozadini.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-2926581176048047172009-11-17T01:59:11.427+03:002009-11-17T01:59:11.427+03:00Hiyo habari kutoka ya Global Publishers itoe ni ud...Hiyo habari kutoka ya Global Publishers itoe ni udaku tu. Huyu mume wake ndiye Mhariri Msaidizi wa Gazeti la Udaku la Risasi - gazeti ambalo linatesa watu kwa kuwazushia mambo ya uwongo. Leo wako hapa eti wanajifanya walokole. Hakuna lolote, kila kitu ni pesa tu. Utakuwaje kwenye gazeti linaloendeleza tabia mbovu, umalaya na ukahaba halafu eti ujifanye umeokoka? Itoe hiyo link ya Global Publishers kwani ni kampeni za kishetani. Usipoitoa mimi sitatembelea blogu hii tena! Mungu akubarikiAnonymousnoreply@blogger.com