tag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post7678763717381020071..comments2024-03-08T23:41:42.758+03:00Comments on NYIMBO ZA DINI: SHUTUMA KALI KWA WAIMBA WA NYIMBO ZA INJILI - ETI WENGI WAO WATAENDA MOTONIMasangu Matondo Nzuzullima (MMN)http://www.blogger.com/profile/17267350894732424957noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-4623528903202629002010-07-22T23:46:10.277+03:002010-07-22T23:46:10.277+03:00Umesema vema sana mpendwa, ilihitaji uwajue au uen...Umesema vema sana mpendwa, ilihitaji uwajue au uende kwenye hivyo/au hao waimbaji ili uwaase hivyo na si kuwahukumu kama vile kuna mtu umemkamata akikuibia kihivyo.

Ujue kuwa hata ndani ya wanafunzi wake Yesu kulikuwa na waharifu, lakini Yesu aliwavumilia. Kwa hiyo hao waimbaji ambao umewashutumu kwa kile unachosema hawafanani na kila wanachowaimbia/wahubiria wengine, lakini ni kwamba kwa njia hiyo huwasaidia wengine wali katika giza totoro na kumgeukia Mungu.

Kama nyimbo zao ni baraka basi kuna faida ya mwimbaji regardless of how she/he is a sinner or whatever.Hakuna atakayekamilika mbele za Mungu mpaka siku yake mUNGU MWENYEWE IKAMILIKE.

Waache waimbe maana wamesaidia wengi kunyoosha maisha yao.Yaache magugu yamee pamoja na ngano ili siku ya siku Mvunaji mwenyewe aje achambue.Tungekuwa tunafuata kila tendo la mtu asemacho tusingefika mbali maana hata wanasiasa wanaporojoa mengi tunawachagua na hawafanyi chochote na tena huja na mtindo uleule safari nyingine napo tunawachagua.

Mwimbaji ni mtoa ujumbe tu, ukianza kuchambua maisha yake utajikuta wewe mchambuaji ndiye utaachwa soremba.Nakubaliana na wewe kwamba inabidi tuhubiri na kutenda sawasawa na mahubiri yetu ili tuwe nuru tosha kwa jamii inayopokea ujumbe wetu.Lakini suala la nmana hiyo libaki kwa uamuzi wa mtu mwenyewe pasipo mtu mwingine kumhukumu.
Sisi wanadamu ni wenye dhambi tuliosamehewa na tunazidi kutenda dhambi kila kukicha ila Mungu ni mwenye huruma hutuhurumia na kutusamehe kila inayoitwa dakika.

Binafsi nakushukuru kwa changamoto yako, lakini nakuasa usiikomalie kama vile wewe hauko duniani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-56094102765772598602010-04-11T20:47:02.945+03:002010-04-11T20:47:02.945+03:00Anony - kweli tupu. Yesu Akawaambia. Asiye na dham...Anony - kweli tupu. Yesu Akawaambia. Asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kutwaa jiwe na kumtupia huyu mama mzinzi...Wote wakatawanyika....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-7320233239547196907.post-24969688726028337982010-04-03T23:58:28.882+03:002010-04-03T23:58:28.882+03:00Jamani, Mungu haangalii kama binadamu aangaliavyo....Jamani, Mungu haangalii kama binadamu aangaliavyo...wewe ni nani mpaka uwashutumu wenzako, hebu tafadhali badala ya kushutumu, waombee na Mungu atafanya lililo kweliAnonymousnoreply@blogger.com