Asante mwana blog huu wimbo unanigusa sana! mungu akubariki,mana wengine tuko mbali na nyumbani tunashindwa kuabudu ipasavyo ila kwa nyimbo hizi uwepo wa mungu unatuzunguka.nakuomba kama unaweza kuweka hata mahubiri ya mwakasege kwa mfano au wachungaji wengine.
iyi wimbo yako upendo nkone nina ipena sana niki iangalia. ina nisaidia katika kiroho na kimwili. mungu akubariki kwa kutunza nyimbo hizi. napenda sana nyimbo zakozote.
Asante mwana blog huu wimbo unanigusa sana! mungu akubariki,mana wengine tuko mbali na nyumbani tunashindwa kuabudu ipasavyo ila kwa nyimbo hizi uwepo wa mungu unatuzunguka.nakuomba kama unaweza kuweka hata mahubiri ya mwakasege kwa mfano au wachungaji wengine.
ReplyDeleteNitaona kama nitaweza kuyapata hayo mahubiri ya wachungaji mbalimbali. Nikiyapata basi nitayaweka. Krismasi njema na mwaka mpya (2009) wenye heri
ReplyDeleteiyi wimbo yako upendo nkone nina ipena sana niki iangalia. ina nisaidia katika kiroho na kimwili. mungu akubariki kwa kutunza nyimbo hizi. napenda sana nyimbo zakozote.
ReplyDeletena jingine nilikuwa nimesa hau ni yakumba nakutakia mwaka mpya (2010) mwema. na uwe mwa ka mzuri kwako asante. na mungu akubariki.
ReplyDelete