Sunday, August 2, 2009

DUNDA MU YESU - MCHUNGAJI EMANUEL USHINDI

Wimbo mzuri. Nimevutiwa na jinsi Mchungaji anavyolinganisha mchezo wa watoto wa kudakana na shwari inayoletwa na maisha ya kumtegemea Mungu.

1 comment:

  1. Jamani kuna mtu anaweza akapost lyrics za huu wimbo? It's really a very nice soothing song.

    ReplyDelete