Nilikuwa sijawahi kumsikia huyu kijana. Nyimbo zake nzuri sana tena sana. Asante na Mungu atusaidie sote tufungue mioyo tumsikilize Mungu anapoongea nasi. Tukifanya hivyo yeye atatenda maajabu yake.
nyimbo za med medrick sanga ni nzuri sana rafiki zangu aron samson bosco obed ndayizeye juma fatuma sindayigaya ndevu estela francois nairakoze wote wana zipenda sana. na tuna penda sauti yake na walicheza vizuri sana na nyimbo zao zina mahubiri mazuri sana kama ile nyimbo upendo na mapambano na zingine zote ninzuri sana .nyimbo zote tuna zipenda sana. na kila siku tuna sikiliza nyimbo hizo.asante sana na mungu awabariki sana.
Med unaimba vizuri, nyimbo zako zinagusa moyo, zina upako. Huku niliko kila anayezisikiliza hata kama haelewi lugha, hachoki kusikiliza. Wengine husikiliza hadi machozi kuwatiririka. Mungu akubariki wewe pamoja na vijana wako kwa huduma yenu nzuri! Winston
Nilikuwa sijawahi kumsikia huyu kijana. Nyimbo zake nzuri sana tena sana. Asante na Mungu atusaidie sote tufungue mioyo tumsikilize Mungu anapoongea nasi. Tukifanya hivyo yeye atatenda maajabu yake.
ReplyDeletemed medrick sanga anaimba vizuri sana tena sana na mungu amubariki
ReplyDeletelakini yunayo album yake moja tu. yunaitaji ingine.asante god bless you.
ni mimi tena nasema kama una album nyingine tuna iitaji sana, kuiona asante.
ReplyDeletenyimbo za med medrick sanga ni nzuri sana rafiki zangu aron samson bosco obed ndayizeye juma fatuma sindayigaya ndevu estela francois nairakoze wote wana zipenda sana. na tuna penda sauti yake na walicheza vizuri sana na nyimbo zao zina mahubiri mazuri sana kama ile nyimbo upendo na mapambano na zingine zote ninzuri sana .nyimbo zote tuna zipenda sana. na kila siku tuna sikiliza nyimbo hizo.asante sana na mungu awabariki sana.
ReplyDeleteMed unaimba vizuri, nyimbo zako zinagusa moyo, zina upako. Huku niliko kila anayezisikiliza hata kama haelewi lugha, hachoki kusikiliza. Wengine husikiliza hadi machozi kuwatiririka. Mungu akubariki wewe pamoja na vijana wako kwa huduma yenu nzuri! Winston
ReplyDeletemedrick mungu akubariki na aendelee kukutumia katika jina la yesu tunaomba kama una alubam nyingine uiweke kwenye youtube.
ReplyDeletempendwa Dallas Texas
Nazikubali kazi zako bwana akuzidishie baraka
ReplyDeleteNawezaje kuzipata hizi nyimbo online??
ReplyDeleteNaependa sauti yake ana sauti nzuli sana
ReplyDeleteMnooo
DeleteMedrik sanga
ReplyDelete