Bwana Yesu asiifiwe nabarikiwa sana na nyimbo za dada christina zingine zinanifanya nijisikie si mpweke katika maisha yangu nataka kuwawasiliana na huyu dada naitaji japo namba yake ya simu ili niweze kuwasiliana naye pls kama mtaweza kunisaidia jambo hilo.
Bwana Yesu asiifiwe nabarikiwa sana na nyimbo za dada christina zingine zinanifanya nijisikie si mpweke katika maisha yangu
ReplyDeletenataka kuwawasiliana na huyu dada naitaji japo namba yake ya simu ili niweze kuwasiliana naye
pls kama mtaweza kunisaidia jambo hilo.
Mbarikiwe watumishi wa Mungu