Tuesday, December 23, 2008

EE BWANA NINAKUPENDA - NEEMA MUSHI NA KWAYA YA NEW LIFE CRUSADE (TABATA)

Nyimbo hizi mbili za Neema Mushi na kwaya ya New Life Crusade (TABATA) zilikuwa zimeombwa na mdau aliyekuwa akizihitaji kwa haraka. Nami bila kukawia nazitundika hapa...

1 comment: