Somo la 4: Mapigo
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Kutoka 7-10)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wanaotumia lugh...
23 hours ago
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
1 comment:
Sauti nyororo na nyimbo nzuri ajabu! Nimeusikiliza huu wimbo leo asubuhi nzima. Asante kwa kutukusanyia nyimbo hizi mahali pamoja. Kamwe usifikiri kwamba unafanya kazi ya bure. Huwezi jua si ajabu roho wa Mungu akatenda maajabu yake na mtu akafufuliwa kiroho kutokana na nyimbo hizi. Mungu akubariki daima!
Post a Comment