LA MGAMBO LIMELIA - COSMAS CHIDUMULE

NYIMBO 184 KUTOKA WAVUTI.COM

NYIMBO 49 ZILIZOCHAMBULIWA

NYIMBO 142 KUTOKA WAVUTI.COM

Tuesday, April 8, 2014

Wapendwa; Nimerudi na Blog Hii Itafufuka Tena. Karibuni Upya Ili Tuendelee Kumtumikia Mungu kwa Njia ya Nyimbo

Hizi hapa nyimbo mbili za Bahati Bukuku na tatu za Mchungaji Emmanuel Ushindi kutoka Bukavu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Waimbaji hawa wanafanana katika uimbaji wao maana wote wanapenda kusimulia visa na mikasa katika nyimbo zao. Basi na ukaburudike na kujishibisha kiroho wakati unasikiliza nyimbo hizi za kupendeza !!!

Kama hutaki kuangalia video, au kama unataka kuzisikiliza nyimbo hizi kwa pamoja, bonyeza hapo kwenye audio chini ya post hii....

Bahati Bukuku

(1)  Mzee Tupa Tupa 


(2) Dunia Haina Huruma


Mch. Emmanuel Ushindi

(1) Bwana Nimeshindwa

(2) Hadithi Njoo


(3) Dunda Mu Yesu


Audio ya Nyimbo Zote Tano Hapo Juu Hii Hapa...

Sunday, March 10, 2013

Dunia Haina Huruma - Bahati Bukuku

Mkasa wa kusikitisha kuhusu jamii inayotaliwa na mfumo dume...
Kwa Mungu hata hivyo kila kitu chawezekana...

Nabii Mwingira na Usiku wa Kinabii kwa Wasomi - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

Meli Titaniki - Kwaya ya SDA ya Umoja 2

Hebu Kikombe Hiki na Kiipite Nchi Yetu. Mchungaji Abiudi Misholi Alishatabiri na Kutuonya. Tukeshe !!!

Tuombee Amani - Mchungaji Abiudi Misholi

Nani Atanitazama - Mchungaji Abiudi Misholi

Nchi Yetu Inapita Katika Misukosuko ya Udini, Ubabe, Ukabila, Ujimbo, Ufisadi, Uhasama wa Kitabaka, Mauaji, Utapeli (Ukiwemo wa Kiroho), Ushirikina na Maovu ya Kila Aina. Amani, Upendo, Utanzania na Mshikamano Tulivyokuwa Tumevizoea Sasa Vinatoweka kwa Kasi. Rose Muhando Katika Wimbo Huu Anauliza: Tuna Maono? Tunajua Tunakokwenda? Viongozi Wetu Wanajua? Tutafakari na Kuiombea Sana Tanzania Yetu Tuipendayo !!!

Pasipo Maono - Rose Muhando

VITAMBULISHO VYA WATUMISHI WA BWANA