Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Wednesday, March 16, 2011

NYIMBO KUU ZA INJILI TANZANIA - MKUSANYIKO WA NYIMBO ZA KWAYA YA SDA MUUNGANO MWANZA

  • Kama ulikuwepo, nyimbo hizi (pamoja na zile za Kwaya ya Barabara ya 13 Ulyankulu, Makongoro na Mabibo KKKT) zinakukumbusha nini? Ni kweli kuna tofauti ya uimbaji kati ya waimbaji wa injili wa sasa ambao wanadaiwa kuimba kibiashara zaidi na hawa wa zamani kabla ya mtandao, matamasha na uchezaji wa shoo. Tujadili!
********************

(1) MAHANGAIKO


(2) SAFARI



(3) UKIMWI



(4) KIFO NI NINI ?



(5) NITAMWIMBIA MWOKOZI



(6) SINA LA KULIPA


(7) MAUA MAZURI


 (8) WAVULANA NA WASICHANA


(9) NINGEKUWA NYANI

No comments: