(1) Sauti Ikatoka
(2) Nijaposema kwa Lugha
(3) Bwana Mungu Asema
(4) Mimi Mzabibu
(5) Na Lile Kosa
(6) Mwanadamu Nimekuumba
(7) Nitamwandama Bwana
(8) Bwana Ndiye Mchungaji
(9) Mateso ya Bwana Yesu
(10) Mpanzi
(11) Halleluya!
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
1 comment:
Ahsante sana kwa nyimbo hizi zinatubariki na kutukumbusha mengi sana!
Ubarikiwe!.
Post a Comment