Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili
Showing posts with label SINEMA YA MAISHA YA YESU. Show all posts
Showing posts with label SINEMA YA MAISHA YA YESU. Show all posts

Sunday, June 1, 2014

Audio ya Sinema ya Maisha ya Yesu...

Kama unaihitaji audio hii niandikie na nitakutumia mara moja.
Huwa napenda kuisikiliza ninapokuwa katika gari au ofisini.
Sikiliza Audio Kamili HAPA

Thursday, December 30, 2010

BIBLIA NA SINEMA YA MAISHA YA YESU KATIKA LUGHA MBALIMBALI ZA TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA.

  • Sinema ya Maisha ya Yesu sasa inapatikana mtandoni katika lugha mbalimbali za Kitanzania kama Kibena, Kidigo, Kigogo, Kihaya, Kihehe, Kimasai, Kimeru, Kimoshi (Kichaga), Kimakonde, Kimakua, Kinyakyusa, Kinyilamba, Kimasai, Kinyamwezi, Kinyakyusa (cha Ngonde), Kishambala, Kisukuma, Kiswahili na Kiyao.
    • Sinema hii pia inapatikana katika lugha nyingine za Afrika. Ukitaka kuisikiliza na kuitazama, tembelea tovuti ifuatayo na chagua lugha unayotaka.
    • Pia unaweza kusoma Biblia, kusikiliza na kutazama filamu ya Yesu pamoja na rekodi mbalimbali za Kikristo katika lugha kadhaa za Tanzania kupitia tovuti ya Joshua Project (chagua Tanzania). Mungu Atubariki tunapouanza mwaka mpya wa 2011.

    Thursday, December 24, 2009

    MAISHA YA MKOMBOZI WETU YESU KRISTO - KAMA ILIVYOANDIKWA KATIKA INJILI YA LUKA

    Mungu Atupe nguvu, amani, uvumilivu na hatimaye ushindi tunaposafiri katika safari yetu ngumu ya Imani. Roho Mtakatifu na Akashuke kati yetu na kutenda maajabu yake tunapoangalia maisha ya Mkombozi wetu Yesu Kristo hasa wakati huu tunapokumbuka kuzaliwa kwake. KRISMASI NJEMA na mwaka mpya (2010) wenye heri. Nyote mbarikiwe!