Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili
Showing posts with label EMMY KOSGEI. Show all posts
Showing posts with label EMMY KOSGEI. Show all posts

Thursday, July 1, 2010

  • Mahojiano ya Emmy Kosgei  na kituo cha televisheni cha Citizen. Unaweza kuzisikiliza nyimbo za Emmy hapa.

Monday, May 10, 2010

CHEBOMUREN - EMMY KOSGEI (NI NANI KAMA MAMA?)

  • Kwa wenzetu kule Marekani jana ilikuwa ni "Mother's day". Na pengine duniani kote hakuna mwanamke mwenye majukumu mengi kama mama wa Kiafrika hasa yule anayekaa kijijini. Hebu tuungane na Emmy Kosgei katika kuwabariki na kuwasherehekea mama zetu wapendwa kwa yote waliyotutendea na wanayoendelea kututendea. Tuwakumbuke, tuwaenzi, tuwaheshimu na kuwatunza hasa wakati huu wa uzee wao wanapotuhitaji sana. Tusikakawane mijini tukiponda raha kumbe mama zetu wazazi waliotuleta hapa duniani wanateseka kijijini. Mungu Aendelee kutubariki, kutujali na kutupa hekima. Jamani, ni nani kama mama?

Monday, March 8, 2010

MKUSANYIKO WA NYIMBO ZA EMMY KOSGEI

  • Hii ni lugha ya Kikalenjin. Mengine tumwachie Roho Mtakatifu!

(1) KIBOIBOI


(2)TAUNET NELEL


(3) ONGEUREREN


(4)KASWECH


(5) NDOIWA


(6) KATAU BANDA


(7) KIBENDI JERUSALEM


(7) CHOBOGE