Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili
Showing posts with label JUDITH BABIRYE. Show all posts
Showing posts with label JUDITH BABIRYE. Show all posts

Saturday, June 20, 2009

YESU BEERA NANGE - JUDITH BABIRYE

Hata kama hufahamu Kiganda (au lugha yo yote ya bonde la Ziwa Nyanza ) ni sawa. Ujumbe utaupata tu!

Wednesday, June 17, 2009

OMULIRO (MOTO) - JUDITH BABIRYE

Tafsiri ya juu juu tu ya wimbo huu mzuri wa Judith Babirye (kwa wanaofahamu Kiganda tupatieni tafsiri nzuri)

...Ni Mungu ambaye hujibu kwa moto
Tunatafuta kuuona utukufu Wake
Eliya Mtume alikuwa milimani
Na Mungu aliingilia kati
Katikati ya shida
Unapomwita Mungu
Yeye hujibu kwa moto (Omuliro)
Acheni moto uteketeze mapepo, umasikini na magonjwa
Moto wa Yesu utatuao matatizo ya maisha....

SIKU ZOTE - JUDITH BABIRYE

ZIJUKIRA MUKAMA - JUDITH BABIRYE (LIVE IN MARYLAND, USA)



Video ya wimbo huu hii hapa