Binti huyu ana kipaji cha hali ya juu. Kwa mnaofahamu Kifaransa vizuri, ni nini kinazungumzwa hapa? Kifaransa changu cha kidato cha nne kilishaingia kutu na kubutuka miaka mingi sana iliyopita.
Somo la 12: “Nakusihi, Unioneshe Utukufu Wako”
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Kutoka 33-34)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wanaotumia lu...
6 days ago