Binti huyu ana kipaji cha hali ya juu. Kwa mnaofahamu Kifaransa vizuri, ni nini kinazungumzwa hapa? Kifaransa changu cha kidato cha nne kilishaingia kutu na kubutuka miaka mingi sana iliyopita.
Somo la 8: Kuwa na Imani
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Mathayo 11, Waebrania 11, Mathayo 15, Waefeso 2)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2026, Bruce N....
2 days ago

No comments:
Post a Comment