Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili
Showing posts with label MAHUBIRI. Show all posts
Showing posts with label MAHUBIRI. Show all posts

Tuesday, February 24, 2015

Msikilize Mchungaji Anthony Akihubiri Juu ya Umuhimu wa Kuwa na Msimamo (wa Kiroho) Katika Maisha Yetu Hapa Duniani

Waingereza wana msemo kwamba "You must stand for something or you will fall for anything"

Ati, linapokuja suala la imani na maisha yako ni nini ambacho huwezi kukitenda kamwe kabisa kabisa hata kama ungeahidiwa utajiri, umaarufu na mamlaka? Kuwa na msimamo katika maisha ni jambo la muhimu sana kwani ndilo linaonyesha kwamba binadamu tuna utashi - na hii ndiyo tofauti kubwa kati yetu na wanyama wengine. Kwa mantiki hii, mtu asiyekuwa na msimamo hana tofauti na wanyama wengine na pengine hastahili hata kuitwa binadamu. 

Ngoja niulize tena: 
Una msimamo katika maisha yako? 
Ni jambo gani ambalo kamwe kabisa huwezi kulitenda hata iweje? 
Ni kuua? Ni kuzini? Ni kufisadika? Ni nini? 
Tafakari!

Saturday, May 31, 2014

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira wa Kanisa la Efatha (Audio)


Huu ni mfululizo wa mahubiri yaliyotolewa na Mtume na Nabii Josephat Mwingira katika ibada mbalimbali makao makuu ya kanisa la Efatha jijini Dar es salaam. Unaweza kuzitazama video za mahubiri haya HAPA

Friday, May 30, 2014

Tazama na Sikiliza Mahubiri Mbalimbali ya Mchungaji Anthony Luseleko (Mzee wa Upako) wa Kanisa la Tutashinda Hapa.

(1). Mahubiri juu ya umuhimu wa kuwa na msimamo katika imani



Sikiliza Audio Nzima Hapa Chini


(2). Ufafanuzi wa Kitabu cha Esta

Sikiliza Audio Nzima Hapa Chini


(3). Ibada ya Maombezi
Sikiliza Audio Nzima Hapa Chini

(4). Ijue historia ya maisha yake
Sikiliza Audio Nzima Hapa Chini


(5). Kibali

Sikiliza Audio Nzima Hapa Chini


(6) Kipindi Maalum (Maswali na Majibu)

Sikiliza Audio Nzima Hapa Chini


(7) Mahojiano na Kipindi cha Mikasi
  Sikiliza Audio Nzima Hapa Chini

************************************
(8) Unaweza pia kusikiliza audio zote HAPA
 

Tuesday, April 28, 2009

FAITH TESTED BY FIRE - MCHUNGAJI JOHN HAGEE

Mchungaji John Hagee ni mmoja wa wahubiri wachache hapa Marekani ambao wanahubiri injili kama ilivyo - injili ya kutubu dhambi na kusamehewa na siyo ile injili ya kujisikia vizuri au utajirisho iliyotawala hapa. Yeye haogopi wala kubembeleza. Kwa hali hiyo anaonekana kuwa "controversial" na mwenye msimamo mkali. Msikilize halafu uamue!