Somo la 3: Kumpendeza Mungu
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Waefeso 5, 1 Petro 5, Zaburi 149, Marko 9)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Came...
3 days ago
2 comments:
Wow!
Bwana Yesu asifiwe! kwanza nakupongeza sanaa kwa blog yako kwani ni jambo jema la kumpendeza Mungu, kutupa nafasi na kumwamudu Mungu kwa njia hii. Pia nimefurahi sanaaaa kuona kuna mahubiri kwenye blog yako, japo ni moja, tutafurahi sanaaa ukituwekea mahubiri mengi ya kutosha, unajua sisi ambao tupo ughaibuni kusikia neno la Mungu inakuwa kazi sanaa. God bless you
Post a Comment