MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Wednesday, June 17, 2009

OMULIRO (MOTO) - JUDITH BABIRYE

Tafsiri ya juu juu tu ya wimbo huu mzuri wa Judith Babirye (kwa wanaofahamu Kiganda tupatieni tafsiri nzuri)

...Ni Mungu ambaye hujibu kwa moto
Tunatafuta kuuona utukufu Wake
Eliya Mtume alikuwa milimani
Na Mungu aliingilia kati
Katikati ya shida
Unapomwita Mungu
Yeye hujibu kwa moto (Omuliro)
Acheni moto uteketeze mapepo, umasikini na magonjwa
Moto wa Yesu utatuao matatizo ya maisha....

1 comment:

Anonymous said...

Sijui wanaimba nini lakini nimeguswa. Yesu kweli hachagui lugha. This is the best song for me. Mungu anatenda maajabu...AMEN