- Nilitazama hii programu katika History channel na nilivutiwa na utafiti wa miaka mingi wa wanasayansi hawa. Kwa kutumia mbinu mbalimbali za kisayansi, waliweza kuonyesha kwamba pengine Yesu hakuwa yule mzungu mrefu kijana mwenye sura na nywele ndefu tuliyemzoea. Wanaamini kwamba Yesu alionekana kama picha hii inavyoonyesha. Kwa habari zaidi bonyeza HAPA
Somo la 4: Manabii wa Agano Jipya
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Kumbukumbu la Torati 18, Matendo 21, 1 Wakorintho 14)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2026, Br...
2 days ago

