- Kama ulikuwepo, nyimbo hizi (pamoja na zile za Kwaya ya Barabara ya 13 Ulyankulu, Makongoro na Mabibo KKKT) zinakukumbusha nini? Ni kweli kuna tofauti ya uimbaji kati ya waimbaji wa injili wa sasa ambao wanadaiwa kuimba kibiashara zaidi na hawa wa zamani kabla ya mtandao, matamasha na uchezaji wa shoo. Tujadili!
(1) MAHANGAIKO
(2) SAFARI
(3) UKIMWI
(4) KIFO NI NINI ?
(5) NITAMWIMBIA MWOKOZI
(6) SINA LA KULIPA
(7) MAUA MAZURI
(8) WAVULANA NA WASICHANA
(9) NINGEKUWA NYANI
No comments:
Post a Comment