Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Saturday, August 15, 2009

MKUSANYIKO WA NYIMBO 16 ZA FANUEL SEDEKIA

Wapendwa, hizi hapa nyimbo 16 za Jemedari wa Yesu Fanuel Sedekia. Mungu atubariki tunapomkumbuka shujaa huyu aliyelala.

(1) JINA LA YESU


(2) AMEN


(3) UNAWEZA


(4) NINAKUABUDU


(5) TUMEKUJA


(6) SIFUNI JINA LAKE/AMETENDA MAAJABU


(7) YANIPASA NISHUKURU


(8) UNASTAHILI


(9) LIPO JINA


(10) MFINYANZI


(11) MVUA YA BARAKA


(12) OMBA


(13) UWEPO WAKO


(14) RAFIKI


(15) MUUJIZA WAKO


(16) HALELUYA

5 comments:

Mama Anastazia said...

Asante sana kwa kutukusanyia hizi nyimbo za Sedekia hapa. Mungu akubariki

Yohana Limbe Juma said...

Mama Anastazia - Mungu akubariki nawe pia pamoja na Anastazia na familia yako yote.

Kulwa said...

Nyimbo hizi zinanifanya nitoe machozi. Mbona huyu kaitwa akiwa bado kijana namna hii? Na kipaji chote hiki? Kwa nini? Mipango ya Mungu haina makosa. Yaani...

francoisbaragora1 said...

Yohana Limbe juma nina sema asante sana na tena asante sana kwa nyimbo hizi ulizo tukusanyia za fanueli sedekia. Na Mungu akubariki sana. na napenda nikwambie ya kwamba kazi unao yifanya Mungu anahesabu ipo siku atakulipa kwa yote unao yatenda.Asante na Mungu akubariki pamoja na familiya yako yote.Amen

Unknown said...

He,kunazo nyimbo zingine za Fanuel ambazo hazijakusanywa hapa?