Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili
Showing posts with label MCHUNGAJI ABIUDI MISHOLI. Show all posts
Showing posts with label MCHUNGAJI ABIUDI MISHOLI. Show all posts

Saturday, October 9, 2010

Monday, February 22, 2010

TUOMBE AMANI - MCHUNGAJI ABIUDI MISHOLI

Watanzania - tuombe amani ili yaliyotokea kule Musoma yasije yakawa ni ya kawaida katika nchi yetu iliyozoea amani. Mungu Atubariki na Awape akili na ufahamu viongozi wetu. Hebu na Akatufunue macho Watanzania ili tuchaguoe viongozi wanaoona mbali katika mwaka huu wa uchaguzi. Mungu Ibariki Tanzania. Amen!

*******************************

Thursday, February 12, 2009

WEWE MUNGU NI WA AJABU - MCHUNGAJI ABIUDI MISHOLI

Ushuhuda wenye kugusa moyo wa mtumishi wa Mungu Mchungaji Abiudi Misholi. Kuna anayejua huyu mchungaji anapatikana wapi? Ninataka kuwasiliana naye.