Watanzania - tuombe amani ili yaliyotokea kule Musoma yasije yakawa ni ya kawaida katika nchi yetu iliyozoea amani. Mungu Atubariki na Awape akili na ufahamu viongozi wetu. Hebu na Akatufunue macho Watanzania ili tuchaguoe viongozi wanaoona mbali katika mwaka huu wa uchaguzi. Mungu Ibariki Tanzania. Amen!
*******************************
No comments:
Post a Comment