Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuruni nyote kwa kuiunga mkono blogu hii kwa muda huu mfupi ambao imekuwa hai. Ninawatakieni Sikukuu njema ya Krisimasi na Mwaka mpya (2009) wenye heri. Mungu aendelee kutubariki na kutuongoza. Ninatumaini kwamba mwaka ujao (2009) utakuwa umejaa mema kwetu sote - kimwili na kiroho. AMINA!
Somo la 3: Manabii wa Agano la Kale
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Yakobo 5, 1 Wafalme 22, 2 Wafalme 22, Yeremia 14)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2026, Bruce ...
1 day ago
