(1) EE MUNGU WANGU
(2) MWOKOZI YESU
(3) YEHOVA
(4) LINDA MOYO
(5) MWOKOZI WETU
(6) UPENDO
(7) NIMEKUKIMBILIA
Somo la 3: Kumpendeza Mungu
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Waefeso 5, 1 Petro 5, Zaburi 149, Marko 9)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Came...
3 days ago
10 comments:
Nilikuwa sijawahi kumsikia huyu kijana. Nyimbo zake nzuri sana tena sana. Asante na Mungu atusaidie sote tufungue mioyo tumsikilize Mungu anapoongea nasi. Tukifanya hivyo yeye atatenda maajabu yake.
med medrick sanga anaimba vizuri sana tena sana na mungu amubariki
lakini yunayo album yake moja tu. yunaitaji ingine.asante god bless you.
ni mimi tena nasema kama una album nyingine tuna iitaji sana, kuiona asante.
nyimbo za med medrick sanga ni nzuri sana rafiki zangu aron samson bosco obed ndayizeye juma fatuma sindayigaya ndevu estela francois nairakoze wote wana zipenda sana. na tuna penda sauti yake na walicheza vizuri sana na nyimbo zao zina mahubiri mazuri sana kama ile nyimbo upendo na mapambano na zingine zote ninzuri sana .nyimbo zote tuna zipenda sana. na kila siku tuna sikiliza nyimbo hizo.asante sana na mungu awabariki sana.
Med unaimba vizuri, nyimbo zako zinagusa moyo, zina upako. Huku niliko kila anayezisikiliza hata kama haelewi lugha, hachoki kusikiliza. Wengine husikiliza hadi machozi kuwatiririka. Mungu akubariki wewe pamoja na vijana wako kwa huduma yenu nzuri! Winston
medrick mungu akubariki na aendelee kukutumia katika jina la yesu tunaomba kama una alubam nyingine uiweke kwenye youtube.
mpendwa Dallas Texas
Nazikubali kazi zako bwana akuzidishie baraka
Nawezaje kuzipata hizi nyimbo online??
Naependa sauti yake ana sauti nzuli sana
Medrik sanga
Post a Comment