Binti huyu ana kipaji cha hali ya juu. Kwa mnaofahamu Kifaransa vizuri, ni nini kinazungumzwa hapa? Kifaransa changu cha kidato cha nne kilishaingia kutu na kubutuka miaka mingi sana iliyopita.
Somo la 1: Aliyeteswa Lakini Hakuachwa
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Wafilipi 1, Wakolosai 1. Matendo 16)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J...
2 days ago

No comments:
Post a Comment