Wimbo huu ni kati ya nyimbo kuu (classics) za Injili ya Kiswahili. Kuna anayejua ni kwaya gani iliuimba?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
1 comment:
Neema ya Mungu imefunuliwa kwako hata ukatuwekea Blog hii ya Nyimbo za Dini.Ubarikwe sana, maana kama tumemkubali Kristo yatupasa kutembea naye kila wakati.Kweli najua si peke yangu wengi tumefarijika.Kwaya ya LULU ni ya MTONI LUTHERAN.BWANA YESU ASIFIWE.KWELI WIMBO HUU NI MAALUM NA KILA SIKU UNAKUWA MPYA.
Post a Comment