Kwa vijana ambao hamjaoa, hebu sikilizeni ujumbe huu wa Bony Mwaitege kwa makini. Kwa habari zaidi kuhusu Bon Mwaitege (bofya hapa)
Somo la 9: Warithi wa Ahadi, Wafungwa wa Matumaini
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Joshua 13, Mwanzo 15, Kumbukumbu la Torati 30, Mambo ya Walawi 25)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika C...
19 hours ago

1 comment:
Wimbo mzuri sana na ujumbe moto moto hasa kwa vijana ambao hawajaoa. Hata hivyo kwangu mimi inaonekana kama vile anachohitaji zaidi ni mfanyakazi wa ndani kwani pengine akipata mtu wa kumsaidia hizo kazi za ndani zilizomshinda basi mambo yake yatakuwa sawa. Sijaona sababu hasa ni kwa nini anahitaji mke mbali na hizo kazi za ndani anazozilalamikia. Wengine mnasemaje?
Post a Comment