Somo la 13: Kuingia Katika Umilele
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Waebrania 11, Ufunuo 21)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2026, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wan...
4 days ago

2 comments:
Nilichopenda katika "hadithi" hii ni kwamba MWANDISHI, PADRI, MISS TANZANIA na MASHAHIDI (WAUMINI) wote ni anonymous na ndio wahusika wakuu. Sasa hapo iwe ni kuelimisha, kuonya ama kujenga sijui chochote kati ya hivyo ama vyote vitatendekaje?
Lakini ndio waandishi wetu hao. Kaaazi kwelikweli
Ndiyo, kiwango chetu cha uandishi wa habari bado ni cha chini na mfumuko wa haya magazeti ya udaku sidhani kama unasaidia lolote kwani kila mtu sasa anaweza kujiita mwandishi wa habari. Ni kweli katika habari kama hii wala huwezi kujua lipi ni la kweli na lipi ni "uswahili". Au unaweza kuamini ule msemo wa 'lisemwalo lipo na kama halipo...' Ni kazi kwelikweli!
Post a Comment