Somo la 12: Saa ya Utukufu: Msalaba na Ufufuo
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Yohana 18-20)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2024, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wanaotumia lug...
3 days ago
5 comments:
Ninamshukuru Mungu kwa jinsi anavyozidi kuwapa watu wake karama mbalimbali,nimesikiliza wimbo huu wa Mrs:Christina Shusho unikumbuke umezidi kunifariji moyo wangu, na kunikumbusha kipindi kigumu nilichopita mpaka nikafilia kuwa Mungu ameniacha,lakini kumbe alikuwa akinitegenezea ushukhuda Mungu.Mungu hatusahau anatuwazia yaliyo mema kila wakati.Mungu azidi kumfunulia huyu mama nyimbo nyingi ili watu wapate kupona kupitia ujumbe wa nyimbo zake.
Mungu awabariki
Evarest
Belgium
Mungu akuzidishie ujasiri maarifa na hekima pia miaka mingi christina indeed you are a blessing to many not only in Tz but in the whole E.Africa. Ubarikiwe sana
huu si ni wizi wa kazi za wasanii?
Waambie youtube. Acha injili ienee. Hebu ushindwe na ulegee
unanigusa sana, unanipa upako. ubarikiwe kwani kupitia wewe naimarika kiroho, MUNGU KWELI AMENIKUMBUKA.!!! anazidi kunipigania, akubariki na kukupa nguvu ya kumtumikia!!!
Post a Comment