Tembelea link ifuatayo kwa mjadala mkali kuhusu aina ya Muziki unaofaa makanisani. Asante dada Joyce kwa link hii. Ni mjadala mrefu wenye kufunua macho. Mungu aendelee kutubariki
http://strictlygospel.wordpress.com/2009/02/26/aina-gani-ya-muziki-wa-injili-unafaa-makanisani/
Somo la 3: Uzima na Mauti
-
*Somo la 3: Uzima na Mauti*
*(Wafilipi 1:19-30)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wanaotumia lugha ya...
3 days ago

1 comment:
muziki uwe unaogusa mioyo imuone mungu ni mkuu,toba,kumwinua BWANA,nia sio sio kufanana na dunia kwa maana ya kufurahisha mwili tulikotoka(dansi au bolingo)au ili uuzike kibiashara.kwa ujumla muziki kipimo chake ni jinsi gani umekupeleka karibu na Mungu kuliko kukufurahisha tu kwa ujuzi wa sauti na vyombo.
Post a Comment