Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Monday, August 24, 2009

NYIMBO 10 ZINAZOPENDWA SANA KWA KARIBU MIEZI MIWILI MFULULIZO SASA

Hizi ndizo nyimbo ambazo zimetokea kugusa nyoyo za watu wengi katika blogu hii na kusikilizwa sana.

(1) UNIKUMBUKE - CHRISTINA SHUSHO


(2) GUSA - KWAYA YA VIJANA YA A.I.C CHANG'OMBE


(3) NAONA PENDO - CHRISTINA SHUSHO


(4) NIBEBE - ROSE MUHANDO


(5) DUNDA MU YESU - MCHUNGAJI EMANNUEL USHINDI


(6) MKE MWEMA - BONY MWAITEGE


(7) AMETENDA MAAJABU - FANUEL SEDEKIA


(8) YAHWEH UHIMIDIWE


(9) BWANA YESU - EUNICE NJERI


(10) MSHINDI - ZIPPY/EMMY/JOE

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

huu wimbo ndo nimeustukialeo nimeupenda na nimeusikiliza siku nzima. Ahsante kwa kuuweka hapa.