Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Sunday, September 13, 2009

MKUSANYIKO WA NYIMBO ZA KWAYA YA SDA MUUNGANO (MWANZA)

Hizi nyimbo ni za ama kwaya mashuhuri ya SDA Muungano au A.I.C Makongoro zote za Mwanza. Kama kuna anayefahamu basi anijulishe. Mungu aendelee kutubariki.

(1) TUMO KWENYE SAFARI YA KWENDA MBINGUNI


(2) TUNAKARIBIA MWISHO WA DUNIA

(3) TUMEPATA MKOMBOZI

No comments: