Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Wednesday, September 9, 2009

YESU ATAKUTETEA - JAMES KIMWELE

James Kimwele. Alizaliwa Kibwezi. Alianza kuimba nyimbo za injili Mombasa kwa mchungaji James Maina Nganga.Walikuja Nairobi kufungua huduma mpya ya Neno. Alipata mchumba hapo Neno. Kabla wakutane kimwili akamuona mchumba ana mimba. Tofauti na ile ya Bikira Maria, hii ilikuwa kwa uwezo wa Pasta mwenye ROHO MTAKAVITU. Kimwele alishauriwa asihofu kumuoa mchumba wake, lakini yeye alikataa na kutunga wimbo huu. Japo aliahidiwa kwamba PASTA angelipaia gharama zote za harusi. Kimwele alikataa kata kata (maelezo ya Mchungaji Munishi)


1 comment:

Anonymous said...

Thank you for promoting Bro Kimwele's music. I think he is very gifted and could do more in the world of music.

Thanks: Chemchemi Za Uzima