Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Monday, October 12, 2009

WASTAHILI KUABUDIWA - CHRISTINA SHUSHO

Uimbaji wako Christina Shusho umejaa upako wa Bwana na nyimbo zako kweli zinagusa na kutikisa mioyo. Udumu utumishi wako na wengi wakamwone Bwana kupitia kinywa chako. Tunakuombea!

1 comment:

Anonymous said...

mimi napenda music yako kwani unatowa music mizuri sana