Somo la 2: Kumjua Mungu
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Mwanzo 1-3, 1 Yohana 4)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2026, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wana...
5 days ago
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
1 comment:
Ningependelea sana, kama waimbaji binafsi wa muziki wa injili mnge unda vikundi kwaajili ya kuwa mnahudumu LIVE, badala yakuwa mnatuwekea CD makanisani, halafu mnadanya kwakushika Mic, kana kwamba mnaimba. binafsi nakerwa sana, naona kuwa ni dhambi ya uongo madhabahuni kwa Mungu. hivyo basi ilikuepuka hilo, ni vyema viundwe vikundi, kama vile baadhi ya waimbaji wa DRC wanavyo fanya. Mbarikiwe.
Post a Comment