- Internet Explorer inaniletea matatizo. Najaribu kufungua blogu lakini haifunguki vizuri na posts zinakuwa zimeparaganyika. Kuna mwingine anayeona tatizo kama hili au tatizo jingine lolote katika blogu hii? Kasi yake ya kufunguka ikoje?
- Nikifungua blogu kwa kutumia Firefox kila kitu kiko sawa. Kwa sasa tumieni Firefox - ambayo kimsingi ni bora kuliko internet explorer katika mambo mengi.
- Kama huna firefox katika kompyuta yako download toleo jipya hapa. Naomba sana mnijulishe matatizo yo yote kuhusiana na blogu hii ili niweze kuyashughulikia. Mungu Aendelee kutubariki wapendwa. Hebu na tushike sana tulichonacho katika siku hizi za mwisho. Amen!
3 comments:
The main problem is your graphics. You may have to change the top picture of Jesus coming. I also have problem accessing this page and it seems that it is this picture that slows down everything. You may have to try a different picture. See what happens. Also you could rearrange your videos so that only one video is accessed per page.
Thanks for taking your time to respond. I have someone looking at the issue and I am sure it will be addressed. Asante sana!
Nashindwa kufungua tzgospel.blogspot.com,au imefutwa?
nimejaribu karibia wiki sasa!
Post a Comment