Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Monday, March 8, 2010

KAMA GARI BOVU - KWAYA YA VISION GOSPEL SINGERS TUNDUMA

  • Nyimbo hizi za kwaya ya Vision Gospel Singers Tunduma zimeletwa na mpiganaji wa Bwana Jackson Mbogela wa Sauti ya Nyika. Asante sana mpendwa Jackson. Hebu Mungu na Akubariki unapovipigana vita vya Bwana. Nitazitundika zilizobaki baadaye.

No comments: