Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Tuesday, May 11, 2010

WACHUNGAJI WA KIKE WANAZIDI KUONGEZEKA SHAMBANI MWA BWANA - MCHUNGAJI RHODA CHAMSHAMA

  • Mashujaa wa imani wa kike wanaendelea kujitokeza na kujitoma shambani mwa Bwana kuchapa kazi. Huyu hapa ni Mchungaji wa Kitanzania anayesomea shahada ya uzamifu (Ph.D) katika taaluma ya Thiolojia kule Norway akigawa mibaraka ya Bwana kule Karege Matumbi (nje ya Bagamoyo). Nyimbozadini.blogspot.com inawapongeza akina mama wote wanaojitoma shambani mwa Bwana kwani mavuno ni mengi lakini wavunaji ni wachache. Mungu Aendelee kuwabariki na kuwatumia kama Anavyotaka. Amen!

1 comment:

Anonymous said...

Great! Wakati mwingine some Jewish traditions katika Biblia zimewafungia dada zetu kuingia shambani mwa Bwana na kumtumikia. Amenibariki sana huyu dada. Ubarikiwe dada.

Joseph Nyemi, Arusha