Asante sana dada Geraldine. Wimbo mzuri sana na wenye kugusa moyo na roho. Ni kweli umemenyana mpaka Mungu Ameigusa huduma yako. Hebu nasi na tukaguswe tunapousikiliza wimbo huu. Amen!
Somo la 3: Uzima na Mauti
-
*Somo la 3: Uzima na Mauti*
*(Wafilipi 1:19-30)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wanaotumia lugha ya...
3 days ago

No comments:
Post a Comment