Nani kama Rose Muhando? Nyimbo hizi mbili ni kutoka Albamu yake mpya iitwayo Nyota ya Ajabu (Zawadi ya Krismasi, 2010). Je, albamu hii inapatikana mtandaoni? Kama kuna anayejua atujulishe. Mimi mwenyewe ninahitaji nakala kama kumi hivi.
(1) TUJIFUNGENI
(2) TWENDE
No comments:
Post a Comment