Huyu ni muimbaji mpya kabisa wa nyimbo za injili! Kwa majina anajulikana kwa KIZA BLESSING yupo Dar Es Salaam, East Africa. Hakika nyimbo zake zinabariki sana tena sana maana zimejaa upako wa Roho Mtakatifu. Kazi yake ipo tayari na inasubilia tu kukufikia mahali ulipo. Hivyo kaa mkao wa kula na utegemee muujiza unaposikiliza albamu yake yenye nyimbo nane (Maelezo Kutoka You Tube)
Somo la 13: Maskani (Tabenakulo)
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Kutoka 35-40)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Cameron, J.D.
Kwa wanaotumia lug...
4 days ago
No comments:
Post a Comment