Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Thursday, October 29, 2009

JINA LAKO - TERESA WAIRIMU

Asante sana kaka Jackson kwa wimbo huu mzuri. Ubarikiwe daima!

1 comment:

MBOGELA, Jackson said...

Kila atakayeliita Jina lake Bwana Yesu atapona, Huwa nabarikiwa sana napomsikiliza mtumishi wa Mungu Teresa Wairimu kwa wimbo wake unaosifu jina la Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristo. Asante Mtumishi kwa kutuletea wimbo huu hewani.