- Hii ni lugha ya Kikalenjin. Mengine tumwachie Roho Mtakatifu!
(1) KIBOIBOI
(2)TAUNET NELEL
(3) ONGEUREREN
(4)KASWECH
(5) NDOIWA
(6) KATAU BANDA
(7) KIBENDI JERUSALEM
(7) CHOBOGE
Lengo kuu la blogu ya nyimbozadini ni kuzikusanya video na audio mbalimbali za nyimbo za dini na kuziweka pamoja. Tunatumaini kwamba hii itawapunguzia shida ya kuhangaika kwenda katika mitandao mbalimbali kusaka video na audio hizi. Kwa hivyo video na nyimbo zote zilizopo hapa zinapatikana mtandaoni katika tovuti mbalimbali kama Youtube.com na Google videos. Nyimbozadini.Blogspot.Com haitunzi wala kuuza nyimbo zo zote na kama unataka kununua video za nyimbo utakazoziona hapa basi wasiliana na watoaji au wamiliki wa video hizo. Karibuni tuburudishe mioyo, roho na fikra zetu kwa nyimbo motomoto za Injili. Mungu Atubariki sana!!!
1 comment:
Waimbaji wa Kenya wanapenda kuimba kwa lugha zao za kienyeji na kwa kufanya hivyo wanalinda utamaduni wao na wakati huo huo kuleta ugeni na upekee katika nyimbo zao. Huo wimbo wa pili - TAUNET NELEL - is one of the best songs I have ever heard for a long time...
Post a Comment