- Kwa wenzetu kule Marekani jana ilikuwa ni "Mother's day". Na pengine duniani kote hakuna mwanamke mwenye majukumu mengi kama mama wa Kiafrika hasa yule anayekaa kijijini. Hebu tuungane na Emmy Kosgei katika kuwabariki na kuwasherehekea mama zetu wapendwa kwa yote waliyotutendea na wanayoendelea kututendea. Tuwakumbuke, tuwaenzi, tuwaheshimu na kuwatunza hasa wakati huu wa uzee wao wanapotuhitaji sana. Tusikakawane mijini tukiponda raha kumbe mama zetu wazazi waliotuleta hapa duniani wanateseka kijijini. Mungu Aendelee kutubariki, kutujali na kutupa hekima. Jamani, ni nani kama mama?
Somo la 3: Kumpendeza Mungu
-
*Somo limetafsiriwa na Mgune Masatu*
*(Waefeso 5, 1 Petro 5, Zaburi 149, Marko 9)*
Somo hili limetafsiriwa kutoka katika Copr. 2025, Bruce N. Came...
3 days ago
1 comment:
Huu wimbo huu we acha tu, Akina mama oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Hakuna kabisa kama mama.
Post a Comment