Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kisukuma
  
Audio ya Sinema ya Yesu Katika Kiswahili

Saturday, August 28, 2010

FLORA MBASHA KATIKA BURUDANI NDANI YA MKUTANO MKUU WA CCM, KIZOTA DODOMA

  • Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za injili Flora Mbasha na kundi lake zima waliinua mashabiki wengi wa nyimbo za injili na wimbo wao uliokuwa na speed ya kasi na uliowasisimua wengi. Wimbo huo ulisifu uongozi wa Mwenyekiti wa CCM ukisihi kuongeza ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi kuleta maendeleo Tanzania.
  • Baadhi ya "wadau" wa nyimbo za injili wameshaonyesha kukerwa na tabia hii ya waimbaji wa injili kutumbuiza katika majukwaa ya kisiasa. Msomaji wa blogu hii, wewe una maoni gani kuhusu suala hili?
  • Habari hii inapatikana hapa.

1 comment:

Anonymous said...

Waacheni waimbe tu popote wanapotaka - kwenye mikutano ya siasa, kwenye baa n.k. Ni ishu yao and their God. Nampenda Flora Mbasha kwa sababu yeye hata ukimuita kwenye hafla ya watu wa Bongo Fleva hana kinyongo anakuja tu. Wakati mwingine ili kuwaokoa wenye dhambi inabidi tuwafuate huko huko waliko - hata kama ni kwa staili ya nguvu zaidi, ari zaidi na nia zaidi! You go girl!