MAHUBIRI YA MZEE WA UPAKO NA MTUME/NABII JOSEPHAT MWINGIRA

Mahubiri ya Mzee wa Upako

Mahubiri ya Mtume na Nabii Josephat Mwingira

Sunday, August 22, 2010

MSAMA AKEMEA WAIMBA INJILI KUTUMBUIZA MAJUKWAA YA SIASA

ALEX MSAMA

MKURUGENZI mashuhuri wa kampuni ya Msama Promotion Alex Msama amekemea mtindo ulioibuka hivi karibuni wa wanamuziki wa Injili kujitokeza kutumbuiza katika majukwaa ya kisiasa.

Msama amesema wao ni wainjilisti na si wanasiasa hivyo waache kutumika katika majukwaa ya kisaasa sambamba na kushiriki katika kampeni. Alisema kufanya hivyo ni kumtumikia shetani kwani hawana tofauti na waimbaji wa bongo fleva. 

Chanzo: Mamapipiro.

1 comment:

Anonymous said...

Flora Mbasha leo alikuwa Mwanza kwenye kampeni za CCM. Watu wanakunywa pombe, wanavuta sigara n.k. huku nyimbo za Injili zinaimbwa. Huku siyo kujidhalilisha?

Waimbaji hawa kweli wanashangaza. Utukufu uko wapi???? Imbeni Bongo Fleva basi tujue moja.